Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Yani hii Yanga imezidi tambo sana wanatumia upepo mbaya wa Simba kucheza na akili za mashabiki wao ila niwaambie kitu SISI PEOPLE TUTAKUTANA
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Nani kaelewa hii code ya hawa watu.
10 Reactions
76 Replies
1K Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
10 Reactions
144 Replies
1K Views
"Umeamkaje" kwa lugha yako unasemaje Mimi nasema "Muinuke zeze"
0 Reactions
7 Replies
37 Views
Wakuu ninatafuta kazi ya Maabara ,Nina miaka 30yrs ,mwenyeji wa Kahama ila Kwa Sasa napatikana Mbulu...hebu naombeni nafasi ya kazi kupima Maabara...Maana serikali imeipa kisogo sana sekta ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako 1. IPHONE -watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
58 Reactions
239 Replies
5K Views
Habari. Karibuni kwa kujadili hii mada natumaini ninaweza kupata uzoefu(Experience) zaidi kuhusiana masuala ya ndoa na mahusiano. Kumekuwa na wimbi kubwa la ndoa nyingi kuvunjika,migogoro ya...
2 Reactions
10 Replies
155 Views
WAUNGWANA. Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
21 Reactions
203 Replies
2K Views
Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa...
0 Reactions
4 Replies
72 Views
Habari Naomba ushauri wa kununua ama kujenga nyumba iliyo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa Skwea mita 100. Ambayo ramani yake ni nyumba ya vyumba viwili, choo cha Public, jiko na sebule...
2 Reactions
14 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,783
Posts
49,841,283
Back
Top Bottom