Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
2 Reactions
13 Replies
204 Views
Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre. Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la...
8 Reactions
51 Replies
666 Views
Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo. Kuna dawa asili natumia sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa...
2 Reactions
22 Replies
188 Views
Nani kaelewa hii code ya hawa watu.
10 Reactions
78 Replies
1K Views
Nafasi:Senior Social welfare Mahali: Tanzania https://www.enatmedics.com/2024/06/job-opportunity-senior-social-welfare.html
1 Reactions
1 Replies
31 Views
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa,nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta ameliandikia barua shirikisho la soka nchini (TFF)ya kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
323 Views
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia. Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa, Hapa chini nimeambatanisha dawa...
6 Reactions
97 Replies
2K Views
Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto...
2 Reactions
9 Replies
288 Views
Kuna baadhi ya mawaziri wa awamu ya sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
5 Reactions
18 Replies
412 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,794
Posts
49,841,566
Back
Top Bottom