Wasalaam ndugu zangu.
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo:
Umri: miaka 40 na...
Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache...
I am not getting in deep but nakumbuka kuna movie moja jamaa alionyesha kuna matatizo ya kimtandao yataikumba dunia I don't know he was thinking about this year au kuna kubwa kuliko.
Masonic plans.
Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki.
Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe?
Akitokea kichaa mmoja tu...
Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia?
Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu...
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo...
Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo Watanzania walio wengi waliaminishwa kuwa huenda ikawa na matatizo yaliyopelekea tatizo la internet
=================
Umekuwa ukipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.