Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo Watanzania walio wengi waliaminishwa kuwa huenda ikawa na matatizo yaliyopelekea tatizo la internet ================= Umekuwa ukipata...
11 Reactions
15 Replies
503 Views
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio, lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli, hiyo picha wako...
12 Reactions
141 Replies
3K Views
I am not getting in deep but nakumbuka kuna movie moja jamaa alionyesha kuna matatizo ya kimtandao yataikumba dunia I don't know he was thinking about this year au kuna kubwa kuliko. Masonic plans.
0 Reactions
7 Replies
47 Views
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Josep Msukuma ameyasema hayo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa jana Bungeni Dodoma.
1 Reactions
33 Replies
754 Views
furaha iwe na mipango.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kabla ya Muungano mwaka 1964, kulikuwa na nchi mbili zilizojulikana kama Jamhuri ya Tanganyika ikiongozwa na Rais Julius K Nyerere na Jamhuri ya Zanzibar ikiongozwa na Rais Abeid A. Karume, Chama...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache...
0 Reactions
17 Replies
176 Views
Wasalaam ndugu zangu. Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo: Umri: miaka 40 na...
8 Reactions
44 Replies
507 Views
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ; Dar es Salaam Mwanza Tanga Mbeya Arusha Dodoma Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa...
5 Reactions
62 Replies
2K Views
0 Reactions
8 Replies
176 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,690
Posts
49,611,333
Back
Top Bottom