Kuonesha wazi UN wamejikita wakingia kifua wa Hamas, mambo yamekuwa Magumu sasa kuhusu Idadi ya Watoto na kina Mama waliopoteza uhai tokea Ugaidi wa Hamas ulipoibuka ghafla Mnamo October 7th 2023...
Vatican City: Nchi? Mji? Serikali au Kampuni?
Nadhani moja kati ya maeneo ambayo yamekuwa tata zaidi kuyaelewa basi ni mji wa Vatican… tukiachilia mbali kuhusu utata/ugumu wa kuelewa mfumo wake...
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila...
Imekuwa ni jambo la kawaida kila mara zifanyikapo sherehe za kitaifa (Sherehe za Uhuru, Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar) kuambatana na maonyesho ya kijeshi. Maonyesho haya yamekua yakionyesha...
1: Mungu ananguvu kuliko shetani.
2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza.
3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi
4: Kwa Mungu...
SAMAHANINI SANA WANA JF HASA MKUU WA WILAYA YA RORYA, NILIMAANISHA MKURUGENZI MTENDAJI WA WILAYA YA RORYA MOKANI MARA NA SI MKUU WA WILAYA KM NILIVYOANDIKA AWALI, HATA HIVYO NIMESHINDWA KU-EDIT...
Tanzania kama zilivyo ichi nyingine inakabiliwa na changamoto lukuki za kimaendeleo, mfano Kwenye sekta ya elimu, miundo mbinu, uchumi na afya hivyo kunahaja kubwa ya kuchukua hatua mathubiti ili...
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.