Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
0 Reactions
14 Replies
883 Views
Nyepesi nyepesi; Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
7 Reactions
61 Replies
618 Views
Kipindi hicho wazungu, watu wa ulaya na watu wa marekani wanajitambua haswa Vs Wakati wa leo Nini kimewakumba wazungu ?
2 Reactions
8 Replies
78 Views
Week Mbili zilizopita ndugu yetu intelligence Business man kwenye jukwaa hili alileta Diss ya Kendrick Lamar kwa Drake Na J Cole,katika nyimbo ya future na metro Boomin like that,, Wapenzi wa rap...
11 Reactions
124 Replies
3K Views
Ndugu zangu wenye Usikivu Hafifu. Mmewezaje kutoka kimaisha? Mwenzenu naona mambo magumu sana. Kazi sina, zingine napata wananitosa, mtaji sina, mpenzi sina. Natamani nikimbilie South Africa...
3 Reactions
15 Replies
332 Views
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote 2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia...
50 Reactions
200 Replies
6K Views
Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache...
0 Reactions
7 Replies
23 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Nchi nzima inakosa internaet kwa almost two days mpaka leo ni shida halafu elon musk anawaambia alete starlink yenye kasi kubwa mnakataa for political reasons. Hivi hizi zetu zilirogwa na nani...
6 Reactions
19 Replies
374 Views
Ikatokea umemfumania mkeo, usimuabishe mkeo. Nyamaza, acha huyo mgoni wako aondoke, kaa kitako na mkeo muongee na myamalize nyie wawili na usimtangaze popote.
3 Reactions
52 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,659
Posts
49,610,607
Back
Top Bottom