Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tangu inatanet iwe changamoto kuna baadhi ya apps bado siwezi kutumia. Moja wapo ni x. (twitter) nyie mnaipataje.?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Week Mbili zilizopita ndugu yetu intelligence Business man kwenye jukwaa hili alileta Diss ya Kendrick Lamar kwa Drake Na J Cole,katika nyimbo ya future na metro Boomin like that,, Wapenzi wa rap...
11 Reactions
126 Replies
3K Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama...
3 Reactions
150 Replies
2K Views
Rais Samia huyoo? Sasa hivi kaenda Ufaransa! Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri. Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali...
7 Reactions
62 Replies
2K Views
Vyuo vikuu inakuaje board ya mikopo inaweka hela kwenye account za vyuo wiki mbili zinapita bado chuo haviandai voucher na cheques kupuleka bank wanafunzi wanapata pesa baada ya siku 84 sio 60...
1 Reactions
2 Replies
106 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili...
43 Reactions
112 Replies
3K Views
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti...
8 Reactions
99 Replies
4K Views
Kwema Wadau? Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
23 Reactions
198 Replies
4K Views
Maisha haya tabu tupu. Kuna binti mmoja anafanya kazi hoteli fln hapo mlimani. Huyu nilimuona mara moja tu nikamtamani, baada ya kunihudumia nikamuachia tip nzuri tu na wala sikuchukua namba...
0 Reactions
4 Replies
40 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,808
Posts
49,614,389
Back
Top Bottom