Hii tImu Nilianza Kuipenda mwaka 1998 nikiwa Shule ya vidudu,Bi mkubwa alinunua Jezi number 7 mgongoni Imeandikwa Cantona,Kaka zangu wakawa wananipa story za Cantona,Tangu hapo nikawa mpenzi wa...
Siku zote tunapowasifia Wazungu humu kwa Mambo mbalimbali, ikiwemo na ile Misaada ya Hali na Mali wanayotupa, Wajinga Wanatushambulia, kwa hoja kwamba tunawasujudia mabeberu.
Haya tuwaulizeni...
Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
Ndugu zangu Wana wa mungu, nawasalimu na poleni kwa tatizo la internet kuwa chini. Napenda tu nitoe kero zangu kwa baadhi ya posts.
Hivi ni kweli kwa huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar Kuna...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Nyumban ni nyumbani, nina line za mitandao yote, miezi miwili iliopita, Voda walibadilka wakawa hawana kazi nikahamia tigo na airtel ambayo ili nipate kazi nzuri kwa eneo nilipo, ni lazima...
Ofcourse naelewa kwamba hakuna kupangiana matumizi, ila nisiposema hili nitakua sijatimiza wajibu wangu kama "kaka"(kwa baadhi ya wadogo zangu).
Wadogo zangu, ukiwa bado hustler, kupiga dili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.