Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara? Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Bado kuna umuhimu wa back up ya Hardcopy katika maswala yote ya kiserikali na kijamii ili kuepuka kusimama kwa huduma na mengineyo. Hili ni somo kubwa kwa wanausalama nchini. KWA HISANI YA MTU...
12 Reactions
25 Replies
1K Views
Kitawaka kesho wakati miamba miwili ya Soka la Tanzania Simba watakiwasha Dhidi ya Yanga. Mchezo ukipita ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi mnono, lakini hiyo kesho tutarajie mchezo huo...
1 Reactions
25 Replies
938 Views
Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa...
2 Reactions
5 Replies
558 Views
Pia kuna watu wananishauri eti ni watairi kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me. Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne. Watoto...
3 Reactions
14 Replies
237 Views
Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka. Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa...
2 Reactions
25 Replies
544 Views
MHE. RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA NA WANAJIMBO KATORIKI LA RULENGE - NGARA. 💒⛪🗓️12 MAY,2024.💒⛪ Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Sekreterieti CCM 'W' na M/kiti CCM...
0 Reactions
6 Replies
68 Views
Tunakumbushana tu points muhimu kwamba Usawa unapimwa pia kwa Usajili wa UN siyo Idadi ya watu pekee. Ahsanteni sana 🐼
3 Reactions
54 Replies
826 Views
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
30 Reactions
109 Replies
3K Views
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!! 1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu 2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo. Hoya P.Funk karudi...
7 Reactions
40 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,547
Posts
49,607,543
Back
Top Bottom