Kwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali...
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi?
Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
Ukifuatilia kwa siku kadhaa tangu Rais aende Korea Kusini, Idara ya Mawasiliano ya Rais haikuwa ikifanya kazi yake ipasavyo hasa kwa taarifa muhimu za kuja Tanzania. Hata mkanganyiko uliotokea VOA...
Leo nimeona nishare hii story yangu.
Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
Jana kwenye uzinduzi wa 7 Media ya baba levo niliona kumbe Mwijaku hana shida na Diamond wako poa kabisaa.
Pointi yangu natamani sana Diamond amwambie mwijaku hata kama anamkubalia amtukane ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.