Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyu mzee namkubali sana, Haya mahojiano yake nahisi ni sehemu ya kwanza, KIkubwa ninachomkubali nikuwa sio mramba makalio, na yupo straight forward...
3 Reactions
13 Replies
719 Views
Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
39 Reactions
188 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee. Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa GOBA Njia ya Tegeta A kuelekea madawa na njia ya Tegeta A kuelekea kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki...
0 Reactions
21 Replies
278 Views
kikikufaa njoo tufanye biashara pia bei kinauzwaje?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha...
7 Reactions
69 Replies
1K Views
Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi...
1 Reactions
10 Replies
294 Views
Tunakumbushana tu points muhimu kwamba Usawa unapimwa pia kwa Usajili wa UN siyo Idadi ya watu pekee. Ahsanteni sana 🐼
2 Reactions
22 Replies
253 Views
Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Suggestion
Katika jambo linalowasumbua watanzania wengi kati ya mengi yaliyopo, soka letu linaendelea kututia Shaka kila kukicha, sis kama wadau WA mchezo huu pendwa na wenye chachu ya kuona mafanikio kwenye...
0 Reactions
1 Replies
14 Views
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na...
5 Reactions
30 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,512
Posts
49,606,323
Back
Top Bottom