Siku zote tunapowasifia Wazungu humu kwa Mambo mbalimbali, ikiwemo na ile Misaada ya Hali na Mali wanayotupa, Wajinga Wanatushambulia, kwa hoja kwamba tunawasujudia mabeberu.
Haya tuwaulizeni...
Yaani unamuacha MP unachukua garasa kama Freddy Michael kweli? Faida ni ndogo kuliko Hasara binafsi sijawahi kumkubali tangu aje.
Ni wa kuachana naye haraka sana, hawezi kuwa mchezaji mzuri hata...
TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela...
Ofcourse naelewa kwamba hakuna kupangiana matumizi, ila nisiposema hili nitakua sijatimiza wajibu wangu kama "kaka"(kwa baadhi ya wadogo zangu).
Wadogo zangu, ukiwa bado hustler, kupiga dili ya...
Ukiwa alosto huna mia ya kutu wanakukwepa. Kipindi kile cha kujitafuta ukiwapiga kirungu cha buku ya nauli au bundle ili uweze kufanya mawasiliano wanakupa majibu ya kilokole.
Utasikia asiefanya...
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?
Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za...
VS
Tukutane saa 10 jioni kwa updates zaidi kuelekea Ubingwa 2023/2024.
Nguvumoja#
VIKOSI VYA LEO
Kagera Sugar FC
Simba SC
UPDATES....
2'
Simba wanakosa goli la wazi kabisa hapa.
Kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.