TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela...
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa.
Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
Wakuu Habari?
Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania.
Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina...
Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani,yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo.
Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa...
Wadau,kama nilivyisema hapo juu.Mimi ni kabwela tu hapa mjini "Common Man".Kipato kinategemeana na kupanda na kushuka kwa thamani ya dola.Sasa nimewaza,kutungua kitu show room siwezi.Kumvua mtu...
Nimepitia kumbukumbu za mjadala wa katiba na Muungano kwa miaka zaidi ya 11 sasa. Kumbukumbu kwenye YouTube na mahojiano yaliyowahi kufanywa na vyombo mbalimbali ikiwemo midahalo inaonyesha...
We warned but were never listened to,infact we were ridiculed.Our beloved Magufuli also warned,but was never listened to and infact that very thing took his life.Gwajima warned with tears,but was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.