Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nataka nidownload nizijazs kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wkt nafanya hom workout Msaada tafadhali waungwana!!
2 Reactions
6 Replies
7 Views
Wale mabingwa wa Uchumi, Siasa na Internet naomba kuelimishwa nini maana ya nchi kuwa huru hasa sisi wa Africa na ndugu zetu wa Ulaya Mashariki Sina mengi niko Hapa kujifunza huku nikiwaombea...
1 Reactions
5 Replies
74 Views
Naombeni majibu wandewa. Kuna mmoja aliniambia wanafanya hivyo kwasababu ma boss wao huwa wanawasumbua. Je, kuna ukweli kwenye hili?
0 Reactions
9 Replies
101 Views
  • Suggestion
Source: Kitini cha sheria UTANGULIZI Hapa nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na vitendo vya...
56 Reactions
88 Replies
2K Views
Ahabu - mke 1 Herode - mke 1 Anania - mke 1 Pontio Pilato - mke 1 Yeroboamu - mke 1 Nebukadreza. - mke 1 Hamani - mke 1 Na wote walipotea njia na kumsaliti Mungu. 1. Ibrahimu -...
4 Reactions
9 Replies
241 Views
House girl mwenyewe Bonge la pisi kali
15 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea . Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu! Njooni, wataalamu wa bajeti
4 Reactions
54 Replies
785 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amewasilisha ushahidi wake wa tuhuma za viongozi kupenyezewa rushwa na Matajiri wa CCM Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atalitolea tamko pamoja na...
0 Reactions
6 Replies
107 Views
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote 2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia...
31 Reactions
123 Replies
3K Views
Mimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini. Cost iwe tsh...
1 Reactions
26 Replies
669 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,453
Posts
49,604,627
Back
Top Bottom