Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi.
Mawazo yangu niliyonayo...
Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo!
Nitakua nampooza ya maji!!
NB: Wenye ushauri wa uende...
Habari ya kazi wakuu!!
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja.
Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti...
Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.
Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message...
Wakuu vipi?
Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje?
Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
Mashabiki wengi wa ngumi pamoja na mabondia mbalimbali wa ngumi duniani wameshtushwa baada ya kuona maandalizi ya pambano kati ya mwanadada Claressa Shields pamoja na bondia wa kiume Ryan Garcia ...
Paka wa kufuga anahitajika awe mdogo kabisa ambae hana mazingira ya kumuogopa mtu ili nianze kumfuga awe mzuri , mimi nipo kigamboni ofa yangu ni 30,000, na 5000 ya nauli
Awe paka msafi mdogo...
Wadau nimekuwa nazifuatia mali za CCM wakati wa mfumo wa chama kimoja cha siasa ilikuwa wananchi wote bila kujali ni mwanachama wa CCM au huna chama ni lazima uchangie Maendeleo.
Wakati wa ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.