Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
Inakuwaje wanajamvi!
Naombeni mniamini Fulham watashinda leo goli 1-0 dhidi ya Man City. Na kesho wabahatishaji Arsenal watagongwa 2-0 na Manchester United.
Jumanne ManCity watafungwa 2-0 na...
Habari wakuu naomba kutanguliza shukrani kwa wote watakao changia uzi huu na kutoa msaada. Nina changamoto ya kukohoa wakati wa usiku ninapoanza kulala tatizo hili lilianza mwaka jana kama mwezi...
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu...
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela...
Natumia simu brand ni
oppo a 31 , Leo nipo job imegoma Ku connect WiFi sijajua shida nini wenzangu simu zao wanatumia saf mmoja ana oppo A8 lakini yangu ni big no ukiwasha ina connect then...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.