Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar Umri 20-35. Umri wangu 32. Asiwe slay queen. Ajue thamani ya mwanaume Mwanamke serious anifate inbox aache kuchat chat hapa.
6 Reactions
43 Replies
303 Views
Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki. Chuki zenyewe sio za...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF. Kwa miaka kadhaa nilikula msoto sana wa kimaisha kiasi cha kukosa hata pesa ya nyanya geto.Sometimes chai ya asubuhi ilinishinda,lunch ilikuwa inapiga chenga...
2 Reactions
20 Replies
156 Views
Wakuu habari za muda na wakati kama huu. Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead...
50 Reactions
274 Replies
9K Views
Nchi imegeuka kuwa kituko😳
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa. Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!! Huu ni...
9 Reactions
92 Replies
2K Views
Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Nina kijana wa miaka 17. Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
25 Reactions
331 Replies
4K Views
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na...
4 Reactions
34 Replies
417 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,116
Posts
49,590,394
Back
Top Bottom