Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kibu Denis amesaini mkataba wa miaka 2 kuendelea kusalia simba kwa Ada ya usajili ni milioni 350,mshahara wa 15 na Gari yenye thamani ya milioni 50. Kibu jumla atakusanya milioni 760 ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wasalaam ndugu zangu,Nimepende kuchukua fursa hii kuwasalimu watanzania wote wapenda maendeleo kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo ,amani iwe kwenu. Lipo jambo linanitatiza,maana kwa jinsi...
1 Reactions
11 Replies
211 Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya...
71 Reactions
358 Replies
11K Views
Inakuwaje wanajamvi! Naombeni mniamini Fulham watashinda leo goli 1-0 ya Man City. Na kesho wabahatishaji Arsenal watagongwa 2-0 na Manchester United. Jumanne ManCity watafungwa 2-0 na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende...
11 Reactions
90 Replies
662 Views
Hello brothers and sisters... This is something very important you should know. When you have sex with another person, you exchange energy. If that person is carrying around guilt, shame or...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto. Big up kwa...
30 Reactions
168 Replies
2K Views
Kutoka Kwa Zitto Kabwe, Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano. Sasa Kwa nini CCM imekua...
3 Reactions
14 Replies
318 Views
Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi. Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza...
13 Reactions
29 Replies
1K Views
Mzee wetu, Bilionea Isaac Mowo, ametutoka. Kila aliyeguswa na kifo chake, ninampa pole. R.I.P Mzee wetu Mowo
7 Reactions
56 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,204
Posts
49,593,212
Back
Top Bottom