Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na...
Nimejaribu kuwaza ikiwa jamii forums itapata mshindani kutokea ndani ya Tanzania itaendelea kusimama kama ilivyo
Kwa Taarifa nilizonazo na za uhakika ni kwamba Kuna mwamba mmoja anabuni social...
Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani...
huyu ni waziri muongo sana,na ni mnafiki na mfitini mkubwa.hotuba zake zimejaa unafiki na ni mla rushwa mkubwa sana.kila ziara anayofanya mikoani hulazimishwa kupewa rushwa na wakurugenzi wa...
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
Hbr wana jamvi naona bunge na SERIKALI ikiwa na hoja nzuri yenye mtazamo wa kuwek mazingr mazngra ya wananchi kupata afya kwa mfumo wa bima.
Kwakuw ni shirika moja ndio linalotegemew (NHIF)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.