Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
5 Reactions
13 Replies
160 Views
Habari zenu waungwana, Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito. Baada...
0 Reactions
17 Replies
188 Views
Inaweza kuwa hoja yangu ikaibua hisia tofauti tofauti Lakini najaribu kurudisha akili zangu nyuma, Hoja na malalamiko kuhusu muungano wetu ni kama zimekuwa zikiibuka pindi tunapokuwa na...
2 Reactions
1 Replies
8 Views
[salam inakuaga hapa] Wakuu, nimekua nikitembelea mara nyingi tu Channel ya JF uko YouTube. Kusema kweli Mero na team yake kwa YT wanahitaji kubadirisha approach yake. Maana engagement ni ndogo...
5 Reactions
6 Replies
86 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Wanajukwaa habari zenu? Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili...
10 Reactions
131 Replies
4K Views
Je unafanya biashara ya ukopeshaji na ungependa kupata mfumo wa computer utakaokusaidia shughuli zako za ukkopeshaji? LOAN MANAGEMENT SYSTEM Mfumo wa usimamizi masuala ya kuweka pesa na kukopa...
1 Reactions
13 Replies
136 Views
Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message...
14 Reactions
109 Replies
2K Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
3 Reactions
31 Replies
247 Views
Kichwa cha uzi kinajieleza. Huu mtindo wa wanawake hasa wanaoishi mjini wa kuvaa nguo/sketi fupi zinazoishia magotini au juu ya magoti halafu wakiwa wanatembea utawaona wanajishika shika hiyo...
21 Reactions
115 Replies
16K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,148
Posts
49,591,560
Back
Top Bottom