Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi.
Mawazo yangu niliyonayo...
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati...
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ambae ndio role model wa Chadema amesema atamtia ndani mpinzani wake wa Kisiasa ambae ni Rais wa Zamani bwana Edgar Lungu Kisa Wananchi wengi Wanamfuata baada ya...
Mwaka 2003 ndege ya shirika la serikali ya marekani (AMERICAN AIRLINES) boeing 727 ilikua imekwama (au tuseme imetelekezwa) nchini Angola (Luanda international airport) kwa kipindi cha miaka 4 na...
Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo!
Nitakua nampooza ya maji!!
NB: Wenye ushauri wa uende...
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Vigogo wa Chadema wako ndani ya Kikao kizito muda huu wakijadili masuala mbali mbali, ukiwemo mustakhabari wa Nchi .
Miongoni mwa Ajenda ni kuhusu Chaguzi za...
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne.
1. Sifa za Muombaji
a) Awe raia wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.