Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
19 Reactions
321 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia...
10 Reactions
63 Replies
1K Views
  • Suggestion
JINA LA MFUMO: JAMII SALAMA (JASA). UTANGULIZI. Wizara ya Maendeleo ya jamii,Jinsia,wanawake na makundi maalumu inakabiliwa na ukosefu wa mfumo bora wa kupata na kufuatilia taarifa za kijamii...
0 Reactions
1 Replies
10 Views
Niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza kufunga wifi nyumbani na kuweza kumnunulia mtoto simu, sio kigezo cha kumwachia mtoto uhuru kwenye ulimwengu wa kidijitali...
2 Reactions
15 Replies
236 Views
Marekani Kupitia Ibalozi wake imetoa Msaada wa Maboza 6 ya Maji yanayojiendesha Kwa Jeshi la Tanzania JWTZ. Maboza hayo Yana uwezo wa kusukuma maji Lita 2400 Kila Moja na ni maalumu kutumika...
3 Reactions
30 Replies
734 Views
Nilisikia mahali kwamba zanzibar ina wakilshwa na wabunge 80 kwenye bunge la muungano, na laid wote wa zanzibar hawafiki milioni moja. Alafu eti mtanzania bara hawezi kugombea nafasi yoyote ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA, Naombeni mnisaidie hili swali, Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo, Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na...
1 Reactions
26 Replies
186 Views
Uamuzi wa Hamas kulitetea taifa la Palestina unaendelea kuzaa matunda kwa mataifa mengi zaidi kuendelea kulitambua taifa hilo katika ngazi ya Umoja wa mataifa. Katika kura zilizopigwa jana kwenye...
6 Reactions
14 Replies
422 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
16 Reactions
287 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,293
Posts
49,595,899
Back
Top Bottom