Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wanajamvi
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya,
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio,lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli,hiyo picha wako...
Niliyojivunia:
1. Nilipata safari ya kikazi mkoani Kagera wilaya ya Ngara. Kwenye lile basi raia wengi walikuwa ni wa Rwanda na Burundi. Wakati nipo kwenye basi, nilishuhudia wale jamaa walikuwa...
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha).
Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
Kila mwanaume hupenda sana kuunganisha ruti ila changamoto ipo kwenye namna ya kuunganisha.
Wakati mwingine sababu inaweza ikawa ni yeye au mwanamke wake.
Kuunganisha ni kutamu najua ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.