Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wengi wetu tumekuwa tukilalamika njinsi marafiki, ndugu na n.k tunapo wapa mwangaza asilimia 100 na kujikuta wanakuwa wabaya kwako. Nilimchukua jamaa mmoja nika mpeleka nchi za nje kwa roho ya...
5 Reactions
13 Replies
225 Views
Hawa wachezaji msimu huu na uliopita ukiwaangalia ni watu ambao wana malengo fulani na kuna kitu wanakitafua ila miili inakataa. Hii ni dalili kwamba wana uchovu wa muda mrefu au umri umewatupa...
0 Reactions
3 Replies
209 Views
Hizi gemu lazima Simba waziwekee mkakati maana Kagera kwao ni wa moto sana, tukifanya mchezo tunaweza kuacha point kagera, geita na Dodoma, hizo mechi ni ngumu sana. Mkakati lazima uwepo
2 Reactions
5 Replies
151 Views
JWTZ imekuwa ikifanya kazi vizuri kulinda mipaka ya nchi na Amani sambamba na kufanya whistle blowing kwenye TEUZI za kikimbizi. Pamoja na yote haya, bado kwangu wanasiasa wananguvu sana...
0 Reactions
2 Replies
32 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Christian Makonda Anaendelea kufanya kazi ya kitume,kazi ya kugusa maisha ya watu ,kazi ya kuwafuta wabubujikwao machozi,kazi ya kurejesha matumaini na...
3 Reactions
32 Replies
255 Views
Mimi naweza kupewa kufafanya kitu kibaya kabisa hapa. Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa. Pia tuwe makini...
1 Reactions
13 Replies
561 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Taarifa yao iliyosambazwa na Mkurugenzi wa Itifaki, John Mrema hii hapa.
7 Reactions
53 Replies
1K Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
7 Reactions
116 Replies
429 Views
Hii kitu ina addction moja mbaya sana unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni...
8 Reactions
47 Replies
610 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,950
Posts
49,584,728
Back
Top Bottom