Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
5 Reactions
25 Replies
958 Views
Licha ya vilio na adha kubwa ya ukosefu wa Maji ya matumizi Kwa binadamu na maendeleo, Serikali imepunguza Fedha ilizotenga kwenye Bajeti ya Wizara ya Maji Kwa zaidi ya 17% kutoka Bilioni 750 Hadi...
1 Reactions
13 Replies
183 Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya...
64 Reactions
293 Replies
8K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
14 Reactions
116 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na...
4 Reactions
15 Replies
248 Views
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
3 Reactions
34 Replies
223 Views
Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5.
1 Reactions
2 Replies
56 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
4 Reactions
49 Replies
910 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,838
Posts
49,581,877
Back
Top Bottom