Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
3 Reactions
18 Replies
251 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
13 Reactions
96 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa baada ya kilaza kupewa Cheti kutoka UDOM kwa msaada wa Baba yake aonekana.
3 Reactions
50 Replies
823 Views
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha). Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
8 Reactions
79 Replies
912 Views
Huo ndio ukweli mchungu sana ambao mwanaccm anatakiwa kuukubali. Ufisadi,wizi,rushwa na upigaji dili Kwa asilimia kubwa wahusika ni wanaccm,Cha kushangaza hakuna hata mmoja yupo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jaribio la kumuondoa uhai limefanyika jana. Na mpaka sasa hakuna report yeyote official ya kinachoendelea iliyotolewa na ufalme wa Saudi Arabia. Saudi Arabia imekua ni mshirika mkubwa wa Marekani...
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Hakika hakika Dunia ni watu. Ndugu makomredi na wanafamilia nichukue fursa hii kama mpambanaji na mwanafamilia wa ukweli wa jukwaa hili kusaidiana inapobidi nyakati zote ni muhimu sana sana...
24 Reactions
84 Replies
7K Views
La kufanyiwa kazi /For your action FYA
2 Reactions
3 Replies
47 Views
Majuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha. MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao...
7 Reactions
45 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,805
Posts
49,581,361
Back
Top Bottom