Wasalaam ndugu zangu,Nimepende kuchukua fursa hii kuwasalimu watanzania wote wapenda maendeleo kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo ,amani iwe kwenu.
Lipo jambo linanitatiza,maana kwa jinsi...
Salaam, shalom!!
Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,
Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio...
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mkoani Arusha tangu tarehe 8-10/5/2024 kulikuwa na clinic ya kusikiliza kero na malalamiko ya wananchi, clinic ikiendeshwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha kupitia watalaam mbalimbali kutoka ofisi yake...
Hii kitu ina addction moja mbaya sana
unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni...
Wanakumbi.
🚨🇺🇳🇵🇸BREAKING: UN YAPITIA AZIMIO LA KUSAIDIA UANACHAMA WA PALESTINA
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha kwa wingi azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya...
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.