Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau tumeona jeshi la polisi limetangaza nafasi za ajira sasa wadau kma mm nimeomba sana huwa sipati naombeeni msaada kma mtu anaweza nisaidia nimeomba kma mara mbili nimekosa saada wadau
2 Reactions
10 Replies
121 Views
Salaam, shalom!! Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma, Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio...
4 Reactions
183 Replies
2K Views
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
5 Reactions
87 Replies
1K Views
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati...
3 Reactions
42 Replies
403 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
124K Views
Katika Ukurasa wake wa tweeter Mhe David Kafulila ameandika haya:- ************************************ "Kwasasa Umuhimu wa kutumia nishati mbadala hauna mbadala, Tanzania sasa ni...
2 Reactions
21 Replies
229 Views
Shaquille O'nel na mpenzi wake mpya wa miaka 21 wakila raha Spain.... Hapa kuna mtu atapata muder case🤣🤣
13 Reactions
54 Replies
806 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
12 Reactions
202 Replies
1K Views
Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka) Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka) Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Nina kijana wa miaka 17. Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
12 Reactions
251 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,033
Posts
49,587,801
Back
Top Bottom