Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo...
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
Simba inakabiliwa na tatizo la umoja, tukiwa wamoja hakuna wa kuisumbua Simba, kuna watu wako Simba ndio wanaoamua kama Simba ishinde au ifungwe au itoke sare, mnaweza msiamini lakini hebu...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Boeing has admitted that its Employees falsified aircraft records for the 787 Dreamliner.This is an extremely dangerous anomaly, especially with regards to safety.Given this extremely disturbing...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa
Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa...
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Arusha).
Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio tukawa mbali...
Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi.
Huyu demu aliamua kuachana nami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.