Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio,lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli,hiyo picha wako...
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha).
Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
Biashara yakuuza dola imekuwa na mkanganyiko mkubwa. Mabenki na taasisi za kubadilisha fedha wametangaza hawana dola.
Ila yapo maeneo sasa hivi unanunua dola kwa bei karibia na elfu tatu na fedha...
Wakuu kwema, mimi mkamaria ninayetumia 1xbet, wakamaria kama mnavyojua tunakula sana za uso...
Mimi siyo mwandishi mzuri tuvumiliane
Siku moja nikakaa chini nikafikiria namna ya kupata pesa...
Kila mwanaume hupenda sana kuunganisha ruti ila changamoto ipo kwenye namna ya kuunganisha.
Wakati mwingine sababu inaweza ikawa ni yeye au mwanamke wake.
Kuunganisha ni kutamu najua ambao...
Mimi ni mwanamume, nina mke na watoto wawili, naipenda sana familia yangu. Mimi ni mfanyakazi na katika kazi ninayoifanya huwa natoka saa kumi na mbili jioni na hupendelea kurudi nyumbani mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.