Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
Lissu haamini katika taasisi, ndio maana hata sasa hataki kabisa kusikia maoni tofauti katika chama zaidi ya maoni yake.
Chama hakijalipa mishahara muda mrefu, lakini Lissu kwa kufoka dhidi ya...
Wakuu vipi?
Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje?
Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo...
Wananzengo
Mwanamke wangu huyu hatimae leo kanipa notice yani termination without reason,
Huyu mdada nilifahamiane nae kwa bahati bahati tu mwaka jana nilikuwa nampa upendo mapenzi moto moto...
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na...
Hii ni sawa ? kwamba kuna dini zinatakiwa kujua kuna wanafunzi wangapi mashuleni bila kueleza nini kinataka kufanyika? maana kama ni suala la waumini sio lazima kwenda shuleni unawapata kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.