Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa...
5 Reactions
59 Replies
841 Views
Habari zenu bwana!. Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa. Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa...
15 Reactions
49 Replies
2K Views
Ni yule #DeMostAdmired Wa Mercy. Nimependa pia nishee experience hii na ninyi ndugu zangu wa JF. Nahisi tutapata vitu flani flani. Nashea hii kujaribu kuwapa shuhuda juu ya nature ya jinsi gani...
11 Reactions
198 Replies
12K Views
Wakuu salaam Moja kwa moja kwenye topic. JE wewe una ndoto za ufugaji na hauna Banda? Je wewe ni mfanyakazi unayefanya kazi Moshi mjini au vijijini na hauna sehemu ya kufugia? Kodisha mabanda haya...
1 Reactions
6 Replies
166 Views
Habari za Leo wakuu Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine...
2 Reactions
23 Replies
373 Views
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila...
0 Reactions
1 Replies
51 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
6 Reactions
104 Replies
330 Views
habari wakuu nahitaji play sonsole yenye zaidi mwaka mmoja, iwe na live app,keystore, source code kama unayo njoo tufanye biashara pesa ipo
0 Reactions
1 Replies
8 Views
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
41 Reactions
580 Replies
9K Views
Tumeona jeshi la polisi limetangaza nafasi za ajira jamani naomba kma kuna mdau yoyote anayeweza kunisaidia nipate maana nimeshaomba sana uko nyuma nikakosa msaada nawaomba sada
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,945
Posts
49,584,530
Back
Top Bottom