Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli
Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya...
Unaweza kufanya utafiti mdogo wewe mwenyewe na utagundua kundi la Viongozi wa Chadema waliounga Juhudi na wale walioenda NCCR mageuzi, CUF na ACT Wazalendo wote wanamkubali sana Tundu Antipas Lisu...
08 May 2024
MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''....
Freeman Mbowe amejikita katika chaguzi 6 zilizopita na...
Umefika wakati sasa, tuwaamini akina mama katika kujenga Jamii yenye usawa kiuongozi, CCM, Wamefanya vizuri sana na kwa hakika wamefungua njia, hivi punde tutashuhudia teuzi mbali mbali zote...
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye Ziara yake kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla.Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na...
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye Ziara yake kwamza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla.Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na...
Nimekuwa na kawaida siku hizi kuwa ninaposoma Makala ya historia basi huenda kwenye kazi zangu zilizopita na kuangalia nini nimeandika.
Ndugu yangu Abdulkarim Ally ameandika makala (haipo hapa)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.