Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jaribio la kumuondoa uhai limefanyika jana. Na mpaka sasa hakuna report yeyote official ya kinachoendelea iliyotolewa na ufalme wa Saudi Arabia. Saudi Arabia imekua ni mshirika mkubwa wa Marekani...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa baada ya kilaza kupewa Cheti kutoka UDOM kwa msaada wa Baba yake aonekana.
6 Reactions
103 Replies
2K Views
Akiongea na wananchi wa Mpwapwa Jana, Ndugu Lissu anasema kuwa Wiki takriban mbili amekuwa akishambuliwa "kisiasa" na watu wa makundi matatu kutokana na kauli zake za kuhoji aina ya muungano...
2 Reactions
8 Replies
197 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
4 Reactions
47 Replies
910 Views
Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa. Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu. Ahsante
17 Reactions
69 Replies
445 Views
Habari wanajamvi?natumai wote niwazima. kwa mujibu wa imani zetu wapo wanao amini binadamu ameubwa na MUNGU,hii nikutokana na simulizi na vitabu vya dini. pia wapo ambao wana pinga kwamba kwamba...
0 Reactions
10 Replies
128 Views
Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
5 Reactions
23 Replies
958 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
14 Reactions
115 Replies
2K Views
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
33 Reactions
155 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,836
Posts
49,581,829
Back
Top Bottom