Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961...
4 Reactions
18 Replies
676 Views
Habari za Leo wakuu Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine...
3 Reactions
82 Replies
1K Views
Nina kijana wa miaka 17. Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
10 Reactions
206 Replies
2K Views
Shaquille O'nel na mpenzi wake mpya wa maika 21 wakila raha Spain.... Hapa kuna mtu atapata muder case🤣🤣
4 Reactions
13 Replies
80 Views
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa. Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA. Hongereni Sana Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na...
18 Reactions
220 Replies
4K Views
Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
6 Reactions
95 Replies
2K Views
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
0 Reactions
22 Replies
622 Views
Lissu haamini katika taasisi, ndio maana hata sasa hataki kabisa kusikia maoni tofauti katika chama zaidi ya maoni yake. Chama hakijalipa mishahara muda mrefu, lakini Lissu kwa kufoka dhidi ya...
2 Reactions
22 Replies
189 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Wakuu vipi? Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje? Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
1 Reactions
1 Replies
25 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,013
Posts
49,586,938
Back
Top Bottom