Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lissu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka tu.
Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe...
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
08 May 2024
MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''....
Freeman Mbowe amejikita katika chaguzi 6 zilizopita na...
Habari za leo wana jf mimi ni kijana wa miaka 26 nimejitafuta kwa muda na kwa sasa nashukuru mungu niko tayari kwa ajili ya ndoa,na kifamilia na kimatunzo pia
hivyo basi naomba kufahamu kama...
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
MAREKANI: Rais Joe Biden ameionya Israel na kuitaka kusitisha mpango wake wa kushambulia eneo la Rafah lililopo Kusini mwa Mji wa Gaza huku akieleza kuwa Serikali yake haitatoa Silaha endapo...
Wabunge wa Zanzibar wanatakiwa kuhudhuria vikao vya bunge vya mambo ya muungano tu sio vikao vyote vya bunge
Kuna bajeti mfano hazihusu mambo ya muungano wanakalia Nini ? Au Kwa Nini wawawekwe...
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio,lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli,hiyo picha wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.