Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
164K Replies
5M Views
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha). Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
4 Reactions
30 Replies
121 Views
Unaweza Kuoa mwanamke anae kuzidi miaka 5?
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
30 Reactions
508 Replies
5K Views
Kila mwanaume hupenda sana kuunganisha ruti ila changamoto ipo kwenye namna ya kuunganisha. Wakati mwingine sababu inaweza ikawa ni yeye au mwanamke wake. Kuunganisha ni kutamu najua ambao...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
kuna application gani au jinsi gani ya kufanya ili niweze kupata sms na simu anazopigwa mtu mwingine zije na kwangu mim?
0 Reactions
56 Replies
198K Views
Jamani kwalioolewa ndoa zao zipoje?? Mnashea mabwana kama mie?? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya
14 Reactions
80 Replies
1K Views
Wanajamvi Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya, Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
17 Reactions
271 Replies
4K Views
Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
6 Reactions
83 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,759
Posts
49,580,421
Back
Top Bottom