Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kila mwanaume hupenda sana kuunganisha ruti ila changamoto ipo kwenye namna ya kuunganisha. Wakati mwingine sababu inaweza ikawa ni yeye au mwanamke wake. Kuunganisha ni kutamu najua ambao...
2 Reactions
16 Replies
89 Views
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio,lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli,hiyo picha wako...
3 Reactions
40 Replies
108 Views
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa...
4 Reactions
27 Replies
653 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
164K Replies
5M Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
WALIMU VIJIJINI KUBORESHEWA MAZINGIRA YA KAZI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema Serikali inatambua umhimu wa...
0 Reactions
2 Replies
22 Views
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
30 Reactions
520 Replies
5K Views
Unaweza Kuoa mwanamke anae kuzidi miaka 5?
2 Reactions
9 Replies
47 Views
Habari wanajamvi?natumai wote niwazima. kwa mujibu wa imani zetu wapo wanao amini binadamu ameubwa na MUNGU,hii nikutokana na simulizi na vitabu vya dini. pia wapo ambao wana pinga kwamba kwamba...
0 Reactions
4 Replies
51 Views
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha). Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
5 Reactions
46 Replies
244 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,761
Posts
49,580,582
Back
Top Bottom