Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

08 May 2024 MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''.... Freeman Mbowe amejikita katika chaguzi 6 zilizopita na...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
33 Reactions
19K Replies
732K Views
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda...
9 Reactions
142 Replies
2K Views
Natoa pongezi za dhati kabisa kwa safu yote ya Mawaziri chini ya Amiri Jeshi Mkuu Mama Samia. Nieikubali safu hii ya mawaziri aliyo ipanga wanachapa kazi. Kila nikiwasikiliza na kuwatizama...
1 Reactions
11 Replies
64 Views
Wakuu salaam...... Leo nakumbusha tu kale kamsemo kalitrend zzzzzzz.... Mwanaume anaridhika na kutamani uzuri wa ke kiasi cha kusema hata awe hana maarifa na utashi lakini akishajaliwa shape na...
1 Reactions
11 Replies
174 Views
Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa...
10 Reactions
88 Replies
2K Views
Kufuatia mapitio ya orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (National Essential Medicine List -NEMLIT) yaliyofanywa na Wizara ya Afya Aprili 30, 2024 kwa kujumuisha muunganiko,muundo na nguvu kwa dawa 178...
0 Reactions
4 Replies
72 Views
Picha linaanza magari yanaweza kufika hata 20 alafu barabara nzima wapo wao wanakimbia kwa kasi kubwa nne,hivi why tunaambiwa mwendo mkali unaua wakati wao viongozi wakuu wanakimbizana kama magari...
0 Reactions
2 Replies
22 Views
Akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maji, Waziri wa Maji **** Aweso ameliambia Bunge na Wananchi kwamba Samia ni suluhu ya matatizo ya Maji Nchini na kwamba ameonesha Kwa vitendo maana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kama unatumia sana youtube utakuwa umekutana na matangazo ya mikopo mtandao. Mimi sikuwa nayazingatia mpaka yakaanza kuwa ya ajabu ajabu kama hivi; Basi nikaamua kufuatilia kidogo, nikatafuta...
13 Reactions
50 Replies
920 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,470
Posts
49,605,228
Back
Top Bottom