Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta, Ni busara shughuli na maswala ya muungano na tunu zake, yakatolewa nje, aidha yakawa siyo maswala ya kujadiliwa na wanasiasa wa vyama vya siasa vilivyopata usajili...
2 Reactions
14 Replies
111 Views
Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda...
36 Reactions
101 Replies
2K Views
Tundu Lisu, kwa historia yake, matendo yake na kauli zake, ndiye mtu anayetakiwa kutambulika kama mtetezi namba moja wa haki, usawa, ukweli na umoja wa Watanzania wote bila ya kujali hali ya mtu...
2 Reactions
4 Replies
31 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo...
6 Reactions
52 Replies
443 Views
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa. Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA. Hongereni Sana Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na...
18 Reactions
189 Replies
3K Views
Salaam, zingatia swali hapo juu. Ati jamani yani kwanini? Kwanini mpaka tuhaidiwe au tutishiwe ndo tuamini, kwahiyo tunafanya kwa kuogopa au kwa kushawishiwa? Mfano: Utaambiwa kuna kuchomwa...
6 Reactions
30 Replies
325 Views
  • Poll
Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
3 Reactions
53 Replies
1K Views
Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa...
6 Reactions
37 Replies
426 Views
Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924. Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977...
24 Reactions
139 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,397
Posts
49,603,278
Back
Top Bottom