Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
26 Reactions
100 Replies
3K Views
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo...
25 Reactions
186 Replies
24K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukifuatilia kwa umakini na ukatafakari kwa undani na ukatizama kile anachokifanya Mheshimiwa Makonda Mwamba Mwenyewe katika majukumu yake anayokuwa amepewa na kuaminiwa na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wanajamvi amani iwe nanyi, naomba kuifahamu miradi ya maendeleo iliyoasisiwa na uongozi wa awamu ya sita.
0 Reactions
3 Replies
113 Views
Khabarini wana jukwaa. Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
27 Reactions
424 Replies
13K Views
WAKATI Yanga ikiwa kwenye mchakato wa kusaka mbadala wa Joyce Lomalisa ambaye anatajwa kuachwa mwisho wa msimu huu, imebainika kuwa mshambuliaji Keneddy Musonda pia anampisha mtu. Musonda...
1 Reactions
2 Replies
100 Views
Habari wakuu Nimechaguliwa electronics eng udsm ngaz ya bachelor naomba kujua hii course imekaaje maana vyuo vingne naona wamechanganya na course zngne kama tele na electrical Pia napenda kujua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi. Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi...
0 Reactions
0 Replies
7 Views
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda...
0 Reactions
47 Replies
590 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,410
Posts
49,603,619
Back
Top Bottom