Jamani yule Jabali la siasa bora zenye Tija kwa taifa limeanza Phase 2 hapo jana.
Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa ameonekana akiwa kwenye mkutani Mkoano Dodoma wilaya ya Mpwapwa huku...
Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa)
Sasa...
Kwa zile harakati za Wanaharakati wa wakati ule tuliokuwepo tunazikumbuka lakini walishindwa
Huu mfupa Tundu Lisu ana dhamira ya kweli ya kuutafuna au ni mbwembwe Tu za Fisi kufuatilia mkono wa...
Wakuu samahani..
Naomba mnisaidie ushauri.
Inaeza ikawa so mahala pake..
Niko chuo first year
Nachukua bachelor ya human resource
Ila sijapata mkopo
Me ni fresh toka advance.
Sasa nilikuwa...
Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss. Anamiss jinsi ambavyo tulikuwa tunasuguana kisawa.mi nikawa namjibu tu kifupi.
Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya...
Nyakati huja na nyakati hupita
Na nyakati ambazo huja na kupita, zingine huja kwa namna yake na changamoto zake, na zinapokuja, huja ili zibadilishe kitu na ama kuharibu kabisa,
Kikawaida, Ni...
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi?
Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela
Kabla ya yote...
Kama unatumia sana youtube utakuwa umekutana na matangazo ya mikopo mtandao.
Mimi sikuwa nayazingatia mpaka yakaanza kuwa ya ajabu ajabu kama hivi;
Basi nikaamua kufuatilia kidogo, nikatafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.