Nijuavyo mimi wanawake wote wajibandikao kope na kucha bandia huwa hawamkubali aliyewaumba, ni wapinzani wa wazi wazi wapingao uumbaji wa Mungu.
NB mtu yeyote anayepingana na MUNGU MUUMBAJI...
Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Wakuu kwema, mimi mkamaria ninayetumia 1xbet, wakamaria kama mnavyojua tunakula sana za uso...
Mimi siyo mwandishi mzuri tuvumiliane
Siku moja nikakaa chini nikafikiria namna ya kupata pesa...
Jamii nyingi za kitanzania zitabadili vitendo endeshi kwa watoto na kuwapa nafasi ya kuchagua maamuzi yaliyo Bora kwao.
1. Mimi Ni mmoja ninayepitia changamoto ya kufikia ninachokitaka kutokana na...
Imagine karne moja iliyopita kulikuwa na vita za kidunia Hitler na wenzake walihukumiwa na kuchorwa katika picha ya ugaidi,kiongozi wa kiimla,iddi amini dada alionekana ni the same,Gadadi na wengi...
Ukiwa alosto huna mia ya kutu wanakukwepa. Kipindi kile cha kujitafuta ukiwapiga kirungu cha buku ya nauli au bundle ili uweze kufanya mawasiliano wanakupa majibu ya kilokole.
Utasikia asiefanya...
Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa)
Sasa...
Habari ndugu zangu, nimekutana na utapeli wa kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni.
Mpaka sasa nipo njia panda kupata haki yangu pamoja na wahanga wenzangu zaidi ya 10, ambao tumenunua
viwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.