Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda...
Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita.
Hii tabia sipendezwi nayo inatutia tu akshi asubuhii
Kwani hizo chupi huwa...
Kama unatumia sana youtube utakuwa umekutana na matangazo ya mikopo mtandao.
Mimi sikuwa nayazingatia mpaka yakaanza kuwa ya ajabu ajabu kama hivi;
Basi nikaamua kufuatilia kidogo, nikatafuta...
Ukiwa alosto huna mia ya kutu wanakukwepa. Kipindi kile cha kujitafuta ukiwapiga kirungu cha buku ya nauli au bundle ili uweze kufanya mawasiliano wanakupa majibu ya kilokole.
Utasikia asiefanya...
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi?
Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
Wanakumbi
⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel...
Katika miaka kadhaa ambayo watanzania tumeizoea mitandao basi tunakutana na watu mbalimbali katika posts zao ama comments ambazo ukizisoma unaweza patwa na hasira kwa jinsi alivyoandika upuuzi...
Boeing has admitted that its Employees falsified aircraft records for the 787 Dreamliner.This is an extremely dangerous anomaly, especially with regards to safety.Given this extremely disturbing...
Mwanaanga mwenye asili ya India, Kapteni Sunita Williams na mwenzake mzoefu wa NASA, Butch Wilmore, wako tayari kuruka kuingia kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS) kwa spacecraft mpya kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.