Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta,
Ni busara shughuli na maswala ya muungano na tunu zake, yakatolewa nje, aidha yakawa siyo maswala ya kujadiliwa na wanasiasa wa vyama vya siasa vilivyopata usajili...
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
Ndugu zangu Watanzania,
Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo...
Habari zenu bwana!.
Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa.
Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa...
Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa...
Naghenjwa Kaboyoka Kumbuka Jimbo la Same Mashariki Ndio lilikufanya Ukajulikana Kwenye hili Taifa
Tunakupmba Usitupe mbachao Kwa masala upitao
Wakati unapochangia kule Bungeni mambo yako Kumbuka...
Tundu Lisu, kwa historia yake, matendo yake na kauli zake, ndiye mtu anayetakiwa kutambulika kama mtetezi namba moja wa haki, usawa, ukweli na umoja wa Watanzania wote bila ya kujali hali ya mtu...
Huyu kijana ambaye kwa sasa anaitwa BoniYai au Mleta Taharuki, hadithi yake ya kisiasa inasisimua kwa kiasi chake, hakuwahi kuwa na makuu wala kujikweza.
Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.