Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Mzuka wanajamvi! Kila jamii duniani inaamini vitu flani hasi ama chanya. Kwa mfano hapa Tanzania kuna watu ukiwapa pesa kwa mkono wa kushoto hawakubali, kujitawadha kwa mkono wa kulia siyo...
3 Reactions
4 Replies
55 Views
Kama unatumia sana youtube utakuwa umekutana na matangazo ya mikopo mtandao. Mimi sikuwa nayazingatia mpaka yakaanza kuwa ya ajabu ajabu kama hivi; Basi nikaamua kufuatilia kidogo, nikatafuta...
13 Reactions
47 Replies
881 Views
Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Precision Bw. Patrick Mwanri ambapo wamezungumzia namna bora ya...
0 Reactions
1 Replies
6 Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya...
59 Reactions
277 Replies
6K Views
Hello wakulungwa, Ninatafuta vidonge vya hallucinogens kama DMT, LSD, PCP au psychedelics kama Psilocybin, Salvia,Mushrooms etc. Kwa dar naweza kupata wapi hizi dawa? Asante
1 Reactions
10 Replies
514 Views
Salaam wakuu. Hebu fikiria kiongozi wa serikali amelala Nyumbani na Familia yake halafu siku hiyo hiyo ametoka kubomoa makazi ya watu na kuiacha uchi familia ya Mwenzako namna hii? Unajisikiaje...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x. Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze! Mke anavutia sana napatwa...
39 Reactions
202 Replies
4K Views
Ndugu wanajamii, Leo nataka kushiriki nawe mjadala muhimu kuhusu psychedelics na jinsi wanavyoweza kuwa na faida kiimani na kiafya. Kwanza, ni muhimu kutambua kwamba matumizi ya psychedelics...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukifuatilia kwa umakini na ukatafakari kwa undani na ukatizama kile anachokifanya Mheshimiwa Makonda Mwamba Mwenyewe katika majukumu yake anayokuwa amepewa na kuaminiwa na...
3 Reactions
36 Replies
344 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,459
Posts
49,604,997
Back
Top Bottom