Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu kwema, mimi mkamaria ninayetumia 1xbet, wakamaria kama mnavyojua tunakula sana za uso... Mimi siyo mwandishi mzuri tuvumiliane Siku moja nikakaa chini nikafikiria namna ya kupata pesa...
2 Reactions
37 Replies
859 Views
Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege...
4 Reactions
15 Replies
92 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
123K Views
#nguvumoja# VIKOSI VINAVYOANZA. AZAM FC SIMBA SC. Updates... Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa. Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli. Updates.... 04' Azam wanajaribu...
11 Reactions
251 Replies
3K Views
Wakuu na wataalam hawa haya maswala, inakuaje gari ni mpya toleo la karibuni lakini namba ya usajili unakuta ni ya mwaka 2001 huko. Naombeni mnijuze
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Huenda hili likakushangaza lakini ukweli ndio huu, zaidi ya nusu ya watu wa jimboni kwake hawakumpenda. Ila wale waliompenda walimpenda sana tena sana. Visa vyote ninavyoandika kumuhusu Hayati...
44 Reactions
249 Replies
13K Views
Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala. Nimefurahi kuja kuwaona, sikuwahi kujua nyie ni wakubwa kiasi hiki. Nimeona kazi...
26 Reactions
119 Replies
2K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Salaam,Shalom!! Nimesoma tafiti iliyofanywa na Taasisi inayotambulika Kwa Jina la SAUTI KUBWA: Isemayo. " Kamari yatafuna Taifa kimya kimya" iliyoandikwa na mwandishi aitwaye, Arodia Peter ...
7 Reactions
33 Replies
532 Views
Hawa wachezaji ukiwaangalia ni watu ambao wana malengo fulani na kuna kitu wanakitafua ila miili inakataa. Hii ni dalili kwamba wana uchovu wa muda mrefu au umri umewatupa mkono . Kwa hapa Uchovu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,609
Posts
49,577,298
Back
Top Bottom