Habari zenu wanaJF wenzangu,
Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha.
Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona...
Mambo zaidi ya 10 anayopaswa kuepuka Mjamzito yoyote yule
Unapogundua kuwa una mimba, unapaswa kuwa mwangalifu na kuepuka mambo mengi ambayo yanaweza kusababisha mimba kutoka, au tu yakakukudhuru...
Habari za saa hizi.
Mimi ni kijana naishi dar.
Umri 32.
Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke.
Awe anaishi dar
Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa.
Aelewe thamani ya...
Licha ya vilio na adha kubwa ya ukosefu wa Maji ya matumizi Kwa binadamu na maendeleo, Serikali imepunguza Fedha ilizotenga kwenye Bajeti ya Wizara ya Maji Kwa zaidi ya 17% kutoka Bilioni 750 Hadi...
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.
Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.