Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha. Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Nimejaribu kuwaza ikiwa jamii forums itapata mshindani kutokea ndani ya Tanzania itaendelea kusimama kama ilivyo Maana kwa Taarifa nilizonazo na za uhakika ni kwamba Kuna mwamba mmoja anabuni...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari...
12 Reactions
111 Replies
1K Views
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama...
23 Reactions
193 Replies
5K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
123K Views
Wanajamvi Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya, Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
8 Reactions
138 Replies
1K Views
Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo. Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni...
28 Reactions
4K Replies
1M Views
Otherwise huyu Bwana akiwemo simba mtegemeeee vipigoo yaan kuna mechi yanga wakipanga kudrw na simba kwa maneno yake machafu waanamua kuwaadhibu hatakama walipanga drw na simba
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
5 Reactions
226 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,570
Posts
49,576,514
Back
Top Bottom