Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais. Kutokana na Kushindwa...
2 Reactions
44 Replies
779 Views
Huyu kijana ambaye kwa sasa anaitwa BoniYai au Mleta Taharuki, hadithi yake ya kisiasa inasisimua kwa kiasi chake, hakuwahi kuwa na makuu wala kujikweza. Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako
14 Reactions
47 Replies
1K Views
Shalom Wale mabaharia wenzangu mtanielewa kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanandoa fake, wake za watu ukigusa tu imo. Kwa sasa ndoa ni hekalu la majizi, majambazi, na mafedhuli wa hisia. Kataa...
3 Reactions
9 Replies
140 Views
Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
17 Reactions
98 Replies
2K Views
Kwa mfano, pisi kali anavaa nguo fupi sana, mabega na mgongo vipo wazi, halafu mpo mahali pa burudani club, na kwa mfano mmeamua kuketi nje sehemu ya wazi na kupata burudani mbalimbali kama vile...
8 Reactions
19 Replies
330 Views
Wakubwa habari za majukumu samahani kwa walio fanya interview Za utumishi hivi karibuni setting yao inakuaje kwa intervier za online au maswali yao yanakua katika mfumo gani?
1 Reactions
10 Replies
418 Views
Last week ndugu yangu aliumia mgongo kwa kusukumwa akipanda Mwendokasi Kariakoo. Nilitoka Mwanza kwenda kumsalimia kisha nikaenda kujionea mazingira yaliyopelekea yeye kuumia. Naomba niseme tu...
6 Reactions
18 Replies
359 Views
Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa...
5 Reactions
76 Replies
499 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo...
2 Reactions
26 Replies
320 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,390
Posts
49,603,064
Back
Top Bottom